Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 9:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wala hawawi wote wana kwa kuwa wazao wa Ibrahimu, bali, Katika Isaak wazao wako watakwitwa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wala si wazawa wote wa Abrahamu ni watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Wazawa wake watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wala si wazawa wote wa Abrahamu ni watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Wazawa wake watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wala si wazawa wote wa Abrahamu ni watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Wazawa wake watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wala hawawi wazao wa Ibrahimu kwa sababu wao ni watoto wake, lakini: “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wala hawakuwi wazao wa Ibrahimu kwa sababu wao ni watoto wake, lakini: “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaka.”

Tazama sura Nakili




Waroma 9:7
11 Marejeleo ya Msalaba  

msiwaze moyoni kwamba, Tuna baba, ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambieni ya kwamba Mungu anaweza katika mawe haya kumwinulia Ibrahimu watoto.


Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini akienda kwao mmoja kutoka wafu watatubu.


Zaeni, bassi, matunda yapatanayo na toba wala msianze kusema ndani ya nafsi zenu, Tunae baba ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambieni, ya kwamba Mungu katika mawe haya aweza kumwinulia Ibrahimu watoto.


Wakamjihu, Tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wanenaje, Mtawekwa huru?


Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.


Sisi, ndugu, kama Isaak, tu watoto wa ahadi.


Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Muugu kwa Roho, na kujisifu katika Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili.


naam, yeye aliyeamhiwa, Katika Isaak uzao walio utaitwa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo