Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 9:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Bassi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana nani aliyeshindana na kusudi lake?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Basi mtaniambia, “Kama ni hivyo, kwa nini basi bado Mungu anatulaumu? Kwa maana ni nani awezaye kupinga mapenzi yake?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Basi mtaniambia, “Kama ni hivyo, kwa nini basi bado Mungu anatulaumu? Kwa maana ni nani awezaye kupinga mapenzi yake?”

Tazama sura Nakili

Waroma 9:19
19 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake kama alivyoandikiwa: lakini ole wake mtu yule ambae Mwana wa Adamu amesalitiwa nae: ingekuwa kheri kwake kama asingezahwa mtu yule.

mtu huyu alitwaliwa nanyi kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake taugu zamani, nanyi mkamsulibisha kwa mikono mibaya, mkamwua:

Bassi utasema, Matawi yalikatiwa illi nitiwe mimi.

Bassi, ikiwa Kristo amekhubiriwa kwenu ya kwamba amefufuka, mbona wengine wenu wasema kwamba hakuna kiyama ya wafu?

Labda mtu atasema, Wafufukaje wafu? Na kwa mwili gani waja?

Mtu, ajarihiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu: maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

Lakini mtu atasema, Wewe una imani, nami nina matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo yako, nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo