Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 9:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Kwa maana maandiko yasema na Farao, ya kama, Nilikusimamisha, illi niouyeshe nguvu zangu kwako, jina langu likatangazwe katika inchi yote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Maana Maandiko Matakatifu yasema hivi kwa Farao: “Nilikufanya mfalme ili kwa njia yako, uwezo wangu ujulikane, na jina langu litangazwe popote duniani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Maana Maandiko Matakatifu yasema hivi kwa Farao: “Nilikufanya mfalme ili kwa njia yako, uwezo wangu ujulikane, na jina langu litangazwe popote duniani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Maana Maandiko Matakatifu yasema hivi kwa Farao: “Nilikufanya mfalme ili kwa njia yako, uwezo wangu ujulikane, na jina langu litangazwe popote duniani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kwa maana Maandiko yamwambia Farao, “Nilikuinua kwa kusudi hili hasa, ili nipate kuonesha uweza wangu juu yako, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani kote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kwa maana Maandiko yamwambia Farao, “Nilikuinua kwa kusudi hili hasa, ili nipate kuonyesha uweza wangu juu yako, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.”

Tazama sura Nakili

Waroma 9:17
25 Marejeleo ya Msalaba  

Naliwajulisiia jina lako, tena nitawajulisha, illi pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, na mimi niwe ndani yao.

Lakini ile jawabu yamwanibiaje? Nimejisazia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baal.

Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi waaminio wapewe ahadi kwa imani ya Yesu Kristo.

Na andiko, likiona tangu zamani kwamba Mungu atawafanyizia mataifa wema kwa imani, lilimkhubiri Ibrahimu Injili zamani, ya kama, Kwa wewe mataifa yote yatabarikiwa.

Lakini lanenani Andiko? Mtupe nje mjakazi na mwana wake, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa mwungwana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo