Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 8:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Kwa maana twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja, na vina utungu pamoja mpaka sasa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kwa maana tunajua kwamba mpaka hivi sasa, viumbe vyote vinalia kwa maumivu kama ya kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kwa maana tunajua kwamba mpaka hivi sasa, viumbe vyote vinalia kwa maumivu kama ya kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kwa maana tunajua kwamba mpaka hivi sasa, viumbe vyote vinalia kwa maumivu kama ya kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kwa maana twajua ya kuwa hata sasa viumbe vyote vimekuwa vikilia kwa maumivu kama uchungu wa mwanamke wakati wa kuzaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kwa maana twajua ya kuwa hata sasa viumbe vyote vimekuwa vikilia kwa maumivu kama utungu wa mwanamke wakati wa kuzaa.

Tazama sura Nakili




Waroma 8:22
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Enendem nlimwenguni mwote, mkaikhubiri injili kwa killa kiumbe.


Mwanamke azaapo, yuna huzuni kwa kuwa saa yake imekuja; hatta, akiisha kuzaa mwana, haikumbuki tena shidda, kwa sababu ya furaha ya kuzaliwa mtu ulimwenguni.


Kwa maana viumbe vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili, si kwa khiari yake, illa kwa sababu yake aliyevitiisha,


mkidumu tu katika imani, mmewekwa juu ya misingi, mkawa imara; msipogeuzwa na kuliacha tumaini la Injili mliyosikia khabari zake, iliyokhubiriwa katika viumbe vyote vilivyo chini ya mbingu; ambayo mimi Paolo nalikuwa mkhudumu wake.


Nae alikuwa ana mimba, akilia, akiwa ana utungu na kuumwa katika kuzaa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo