Waroma 7:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi, bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Sitendi lile jema nitakalo kutenda, bali lile baya nisilolitaka, ndilo nitendalo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Sitendi lile jema nitakalo kutenda, bali lile baya nisilolitaka, ndilo nitendalo. Tazama sura |