Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 7:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi sasa si mimi nilitendalo, bali ile dhambi ikaayo ndani yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.

Tazama sura Nakili




Waroma 7:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani ya mwili wangu, halikai neno jema: kwa kuwa kutaka ni katika uwezo wangu, bali kutenda lililo jema sipati.


Bassi kama lile nisilolipenda ndilo nilitendalo, si mimi nilitendae, bali ile dhambi ikaayo ndani yangu.


lakini katika viungo vyangu naona sharia nyingine inapiga vita na ile sharia ya akili zangu, na kunifanya mateka va ile sharia ya dhambi iliyo katika viungo vyangu.


Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo