Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 7:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Lakini kama nikilitenda lile nisilolipenda, nakiri ya kuwa sheria ile ni njema.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Ikiwa basi, ninatenda kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba nakubali kuwa ile sheria ni nzuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Ikiwa basi, ninatenda kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba nakubali kuwa ile sheria ni nzuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Ikiwa basi, ninatenda kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba nakubali kuwa ile sheria ni nzuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Basi kama ninatenda lile nisilotaka kutenda, ni kwamba ninakubali kuwa Torati ni njema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Basi kama ninatenda lile nisilotaka kutenda, ni kwamba ninakubali kuwa sheria ni njema.

Tazama sura Nakili

Waroma 7:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi torati ni takatifu na ile amri takatifu ua ya haki na wema.

Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni, bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi.

Kwa maana naifurahia sharia ya Mungu kwa mtu wa ndani,

Lakini twajua ya kuwa sharia ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia ya kisharia;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo