Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 7:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 HAMJUI, ndugu (maana nasema nao waijuao sharia), ya kuwa torati humtawala mtu maadam yu hayi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ndugu zangu, bila shaka mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua sheria. Sheria humtawala mtu wakati akiwa hai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ndugu zangu, bila shaka mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua sheria. Sheria humtawala mtu wakati akiwa hai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ndugu zangu, bila shaka mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua sheria. Sheria humtawala mtu wakati akiwa hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ndugu zangu, sasa ninasema na wale wanaoijua Torati: Je, hamjui kwamba Torati ina mamlaka juu ya mtu wakati akiwa hai tu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ndugu zangu (sasa ninasema na wale wanaoijua Torati), je, hamjui ya kwamba Torati ina mamlaka tu juu ya mtu wakati akiwa hai?

Tazama sura Nakili




Waroma 7:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Sipendi msiwe na khahari, ndugu zangu, ya kuwa marra nyingi nalikusudia kuja kwemi, nikazuiliwa hatta sasa, illi nipate kuwa na matunda kwenu ninyi pia kama nilivyo navyo katika mataifi mengine.


NDUGU, nia njema ya moyo wangu, na dua yangu niombayo Mungu kwa ajili ya Waisraeli ndio bii, waokolewe.


Kwa maana Kristo ni mwisho wa sharia, illi killa aaminiye apate haki.


Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sharia, hali chini ya neema.


Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Yesu Kristo, twalibatizwa katika mauti yake?


Bali sasa tumetolewa katika torati isitukhusu kitu, tumeilia hali ile iliyotupinga, tupate kutumika sisi katika hali mpya chini ya roho, si katika hali ya zamani, ya dini ya sharia iliyoandikwa.


Kwa maana naliomba mimi mwenyewe niharamishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili;


Je! ninanena haya kama mwana Adamu? Au sharia nayo haisemi yayo hayo?


Niambieni, ninyi ninaotaka kuwa chini ya sharia, hamwisikii torati?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo