Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 6:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Lakini tukiwa twalikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja nae,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Basi, ikiwa tumekufa pamoja na Kristo, tunaamini kwamba tutaishi pia pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Basi, ikiwa tumekufa pamoja na Kristo, tunaamini kwamba tutaishi pia pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Basi, ikiwa tumekufa pamoja na Kristo, tunaamini kwamba tutaishi pia pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Basi ikiwa tulikufa pamoja na Al-Masihi, tunaamini kwamba pia tutaishi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Basi ikiwa tulikufa pamoja na Al-Masihi, tunaamini kwamba pia tutaishi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Waroma 6:8
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bado kidogo na ulimwengu haunioni tena; bali ninyi mnaniona; kwa sababu mimi ni hayi, ninyi nanyi mtakuwa hayi.

Maana, ijapokuwa alisulibiwa katika udhaifu, illakini anaishi kwa nguvu za Mungu. Maana sisi nasi tu dhaifu katika yeye; bali tutaishi pamoja nae kwa uweza wa Mungu ulio ndani yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo