Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 6:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Kwa maana mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali ya haki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mlipokuwa watumwa wa dhambi mlikuwa huru mbali na uadilifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mlipokuwa watumwa wa dhambi mlikuwa huru mbali na uadilifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mlipokuwa watumwa wa dhambi mlikuwa huru mbali na uadilifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa hamtawaliwi na haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa hamtawaliwi na haki.

Tazama sura Nakili

Waroma 6:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hakuna mtu awezae kuwatumikia bwana wawili; kwa maana atamchukia mmoja, na kumpenda wa pili; au atamshika mmoja, na kumtweza wa pili. Hamwezi kumtumikia Mungu na mamona.

Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambieni, Killa atendae dhambi, ni mtumwa wa dhambi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo