Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 6:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Hata kidogo! Kuhusu dhambi sisi tumekufa – tutaendeleaje kuishi tena katika dhambi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Hata kidogo! Kuhusu dhambi sisi tumekufa – tutaendeleaje kuishi tena katika dhambi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Hata kidogo! Kuhusu dhambi sisi tumekufa — tutaendeleaje kuishi tena katika dhambi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?

Tazama sura Nakili




Waroma 6:2
18 Marejeleo ya Msalaba  

Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.


Wala si hivyo tu, illa na twajifurahisha katika Mungu kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambae kwa yeye tuliupokea upatanisho.


Ni nini bassi? Tufanye dhambi kwa sababu hatuwi chini ya sharia bali chini ya neema? Hasha!


Kadhalika, ndugu zangu, na ninyi pia mmeifia torati, kwa njia ya mwili wa Kristo, mpate kuwa mali ya mwingine, yeye aliyefufuka, kusudi tumzalie Mungu matunda.


Bali sasa tumetolewa katika torati isitukhusu kitu, tumeilia hali ile iliyotupinga, tupate kutumika sisi katika hali mpya chini ya roho, si katika hali ya zamani, ya dini ya sharia iliyoandikwa.


Maana mimi kwa sharia naliifia sharia illi nimwishie Mungu.


Lakini mimi, hasha nisijisifie kitu illa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu.


Bassi ikiwa mlikufa pamoja na Kristo mkaacha mafundisho ya awali ya ulimwengu, ya nini kujitia chini ya amri, kama wenye kuishi duniani,


Kwa maana mlikufa, na uzima wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.


Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza, za ujinga wenu;


yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, illi, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe bayi kwa mambo ya haki; kwa kuchubuka kwake mliponywa.


Killa mtu aliyezaliwa na Mungu hafanyi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kufanya dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo