Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 6:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa kule kufa kwake, aliifia dhambi marra moja; lakini kule kuishi kwake, amwishia Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hivyo, kwa kuwa alikufa – mara moja tu – dhambi haina nguvu tena juu yake; na sasa anaishi maisha yake katika umoja na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hivyo, kwa kuwa alikufa – mara moja tu – dhambi haina nguvu tena juu yake; na sasa anaishi maisha yake katika umoja na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hivyo, kwa kuwa alikufa — mara moja tu — dhambi haina nguvu tena juu yake; na sasa anaishi maisha yake katika umoja na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kifo alichokufa, aliifia dhambi mara moja tu; lakini uzima alio nao anamwishia Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kifo alichokufa, aliifia dhambi mara moja tu, lakini uzima alio nao anamwishia Mungu.

Tazama sura Nakili




Waroma 6:10
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, yeye siye Muugu wa wafu, bali Mungu wa wahayi, maana wote ni wahayi kwake.


Vivyo hivyo na ninyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi, na wahayi kwa Mungu katika Kristo Yesu.


tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka hafi tena, mauti haimtawali tena.


Maana yale yasiyowezekana kwa sharia, kwa kuwa dhaifu kwa sababu ya mwili, Mungu, kwa kumtuma Mwana wake mwenyewe katika mfano wa mwili ulio wa dhambi, na kwa ajili ya dhambi, aliihukumu dhambi katika mwili:


tena alikufa kwa ajili ya wote, illi walio hayi wasiwe hayi kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa akafufuka kwa ajili yao.


Maana alimfanya yeye asiyejua dhambi kuwa dhambi kwa ajili vefu, illi sisi tuwe haki ya Mungu katika Yeye.


Kwa maana Kristo nae aliteswa marra moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio baki, illi atulete kwa Mungu; mwili wake akifishwa, bali roho yake akihuishwa.


Maana kwa ajili hiyo na wao waliokufa walikhubiriwa Injili, illi waluikumiwe katika mwili wahukumiwavyo wana Adamu; bali wawe hayi katika roho kwa kumtii Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo