Waroma 5:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 kwa maana wote wamefanya dhambi; maana kabla ya sharia dhambi ilikuwamo ulimwenguni, lakini dhambi haihesabiwi sharia isipokuwapo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kabla ya sheria kuwako, dhambi ilikuwako ulimwenguni; lakini dhambi haiwekwi katika kumbukumbu bila sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kabla ya sheria kuwako, dhambi ilikuwako ulimwenguni; lakini dhambi haiwekwi katika kumbukumbu bila sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kabla ya sheria kuwako, dhambi ilikuwako ulimwenguni; lakini dhambi haiwekwi katika kumbukumbu bila sheria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 kwa maana kabla sheria haijatolewa, dhambi ilikuwemo ulimwenguni. Lakini dhambi haihesabiwi wakati hakuna sheria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 kwa maana kabla sheria haijatolewa, dhambi ilikuwepo ulimwenguni. Lakini dhambi haihesabiwi wakati hakuna sheria. Tazama sura |