Waroma 4:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Wa kheri waliosamehewa maasi yao, Na waliosetiriwa dhambi zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Wamebarikiwa wale ambao wamesamehewa makosa yao, ambao dhambi zao zimefunikwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Wamebarikiwa wale ambao wamesamehewa makosa yao, ambao dhambi zao zimefunikwa. Tazama sura |