Waroma 4:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 bali na kwa ajili yetu sisi tutakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu katika wafu, Bwana wetu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 bali kwa ajili yetu sisi pia ambao Mungu atatupatia haki, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Isa Bwana wetu kutoka kwa wafu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 bali kwa ajili yetu sisi pia ambao Mungu atatupa haki, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Isa Bwana wetu kutoka kwa wafu. Tazama sura |