Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 4:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Kwa maana ikiwa Ibrahimu alipewa haki kwa ajili ya matendo yake, analo la kujisifia, lakini si mbele za Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kama Abrahamu alikuwa amefanywa mwadilifu kutokana na bidii yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kama Abrahamu alikuwa amefanywa mwadilifu kutokana na bidii yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kama Abrahamu alikuwa amefanywa mwadilifu kutokana na bidii yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Kwa maana ikiwa Ibrahimu alihesabiwa haki kwa matendo, basi, anacho kitu cha kujivunia, lakini si mbele za Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kwa maana ikiwa Ibrahimu alihesabiwa haki kwa matendo, basi, anacho kitu cha kujivunia, lakini si mbele za Mungu.

Tazama sura Nakili




Waroma 4:2
21 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, nina sababu ya kujisifu katika Kristo Yesu mbele za Mungu.


mwenye mwili aliye yote asije akajisifu mbele ya Mungu.


kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye ajisifuye ajisifu katika Bwana.


Maana ni nani anaekupambanua na mwingine? na una, nini usiyoipokea? Na iwapo uliipokea, wajisifiani kana kwamba hukuipokea?


Maana, ijapokuwa naikhubiri Injili, sina la kujisifia; maana nimepewa sharti; tena ole wangu nisipoikhubiri.


Lakini nifanyalo nitalifunya, illi niwapinge watafutao nafasi wasipate nafasi; illi katika neno hilo wajisifulo waonekane kuwa kama sisi.


Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu.


Maana hatujisifu nafsi zetu mbele yenu marra ya pili, bali tukiwapeni sababu ya kujisifu kwa ajili yetu, illi mpate kuwa nayo mbele yao wanaojisifu kwa mambo ya nje tu, wala si kwa mambo ya moyoni.


Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi waaminio wapewe ahadi kwa imani ya Yesu Kristo.


wala si kwa matendo, asije mtu awae yote akajisifu.


tena nionekane katika yeye, nisiwe na baki ile ipatikanayo kwa sharia, bali ile ipatikanayo kwa imani iliyo katika Kristo, haki ile itokayo kwa Mungu, kwa imani;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo