Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 4:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Kwa sababu sharia ndiyo ifanyayo hasira; maana pasipo sharia, hapana kosa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna sheria, haiwezekani kuivunja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria, hakuna makosa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 kwa sababu sheria huleta ghadhabu. Mahali ambapo hakuna sheria hakuna makosa.

Tazama sura Nakili




Waroma 4:15
26 Marejeleo ya Msalaba  

Kama singalikuja na kusema nao, wasingalikuwa na dhambi; sasa hawana udhuru kwa dhamhi yao.


Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.


Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hatta imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani.


kwa maana wote wamefanya dhambi; maana kabla ya sharia dhambi ilikuwamo ulimwenguni, lakini dhambi haihesabiwi sharia isipokuwapo;


Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni sharia.


Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sharia, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa killa mtu asiodumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sharia, ayafanye.


Torali ni nini bassi? Iliingizwa kwa sababu ya makosa, hatta mzao atakapokuja aliyepewa ahadi; iliamriwa kwa utumishi wa malaika kwa mkono wa mjumbe.


Mtu asiwadanganye kwa maneno yasiyo maana; maana kwa sababu ya haya ghadhabu ya Mungu huwajia wana wa uasi.


kwa ajili ya hayo ghadhabu ya Mungu huwafikia wana wa kuasi.


Killa afanyae dhambi, afanya nasi; kwa kuwa dhambi ni nasi.


Na upanga mkali hutoka kinywani mwake awapige mataifa kwa huo. Nae atawachunga kwa fimbo ya chuma, nae anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ukali wa ghadhabu ya Mungu Mwenyiezi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo