Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 4:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Maana ikiwa wale wa sharia ndio warithi, imani imekuwa burre, na ahadi imebatilika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Maana kama watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii sheria, basi, imani haina maana yoyote, nayo ahadi ya Mungu si kitu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kwa maana ikiwa wale wanaoishi kwa sheria ndio warithi, imani haina thamani na ahadi haifai kitu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kwa maana ikiwa wale waishio kwa sheria ndio warithi, imani haina thamani na ahadi haifai kitu,

Tazama sura Nakili




Waroma 4:14
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, je! twaibatilisha sharia kwa imani hiyo? Hasha! kinyume cha hayo twaithubutisha sharia.


Kwa hiyo ilitoka kwa imani, iwe kwa njia ya neema, illi ile ahadi iwe imara kwa wazao wote, si kwa wale wa torati tu, illa na kwa wale wa imani ya Ibrahimu aliye baba yetu sisi sote,


Je! Kristo amegawanyika? Paolo alisulibiwa kwa ajili yenu?


Siibatili neema ya Munga. Maana, ikiwa haki hupatikana kwa sharia, bassi, Kristo alikufa burre.


Mmetengwa na Kristo, ninyi mtakao kufanyiziwa wema kwa sharia; mmeanguka toka hali ya neema.


tena nionekane katika yeye, nisiwe na baki ile ipatikanayo kwa sharia, bali ile ipatikanayo kwa imani iliyo katika Kristo, haki ile itokayo kwa Mungu, kwa imani;


(kwa maana sharia ile haikukamilisha neno); na pamoja na haya kuliingizwa matumaini yaliyo mazuri zaidi, ambayo kwayo twamkaribia Mungu.


Maana torati yawaweka wana Adamu walio na unyonge kuwa makuhani wakuu; bali neno la kiapo kilichokuja baada ya torati limemweka Mwana, aliyekamilika hatta milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo