Waroma 3:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Kwa maana, ikiwa kweli ya Mungu imezidi kwa sababu ya uwongo wangu hatta akapata utukufu, mbona mimi nami ningali nikihukumiwa kama ni mwenye dhambi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Labda utasema: “Ikiwa ukosefu wa uaminifu kwa upande wangu unamdhihirisha Mungu kuwa mwaminifu zaidi na hivyo kumpatia utukufu, basi singepaswa kuhukumiwa kuwa mwenye dhambi!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Labda utasema: “Ikiwa ukosefu wa uaminifu kwa upande wangu unamdhihirisha Mungu kuwa mwaminifu zaidi na hivyo kumpatia utukufu, basi singepaswa kuhukumiwa kuwa mwenye dhambi!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Labda utasema: “Ikiwa ukosefu wa uaminifu kwa upande wangu unamdhihirisha Mungu kuwa mwaminifu zaidi na hivyo kumpatia utukufu, basi singepaswa kuhukumiwa kuwa mwenye dhambi!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mtu aweza kuuliza, “Kama uongo wangu unasaidia kuonesha kweli ya Mungu na kuzidisha utukufu wake, kwa nini basi mimi nahukumiwa kuwa mwenye dhambi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mtu aweza kuuliza, “Kama uongo wangu unasaidia kuonyesha kweli ya Mungu na kuzidisha utukufu wake, kwa nini basi mimi nahukumiwa kuwa mwenye dhambi?” Tazama sura |