Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 3:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 wanapewa haki burre kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Yesu Kristo:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kupitia kwa ukombozi ulio katika Al-Masihi Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika Al-Masihi Isa.

Tazama sura Nakili




Waroma 3:24
21 Marejeleo ya Msalaba  

kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kukhudumiwa, bali kukhudumu, na kutoa roho yake kuwa dia ya wengi.


Bali twaamini kwamba kwa neema ya Bwana Yesu tutaokoka kama wao.


Kwa hiyo ilitoka kwa imani, iwe kwa njia ya neema, illi ile ahadi iwe imara kwa wazao wote, si kwa wale wa torati tu, illa na kwa wale wa imani ya Ibrahimu aliye baba yetu sisi sote,


Lakini kwa mtu afanyae kazi ujira wake hauhesabiwi kuwa neema bali kuwa deni.


Bassi zaidi sana tukiisha kupewa haki katika damu yake tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye.


Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyekuwa kwenu hekima itokayo kwa Mungu na haki na utakatifu na ukombozi;


Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hizi; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa kuwa na haki katika jina la Bwana Yesu na katika Roho ya Mungu wetu.


amliae katika yeye tuna nkombozi kwa damu yake, masamaha ya dhambi,


aliyejitoa nafsi yake kuwa ukombozi kwa ajili ya wote utakaoshuhudiwa kwa majira yake;


aliyejitoa nafsi yake kwa ajili yetu, illi atuokoe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake, walio na juhudi kwa matendo mema.


Nao waimba uimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulicbinjwa


Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hawo ndio wanaotoka katika shidda ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao wakayafanya meupe katika damu ya Mwana Kondoo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo