Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 3:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Tunajua kwamba sheria huwahusu walio chini ya sheria hiyo, hata hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Tunajua kwamba sheria huwahusu walio chini ya sheria hiyo, hata hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Tunajua kwamba sheria huwahusu walio chini ya sheria hiyo, hata hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Basi tunajua kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.

Tazama sura Nakili




Waroma 3:19
24 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini litimie neno lililoandikwa katika sharia yao, Walinichukia burre.


Nao, waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianza tangu wazee hatta wa mwisho; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke akisimama katikati.


Kwa sababu mambo yake yasiyoonekima tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, yanafahamika kwa viumbe vyake, yaani uweza wake wa milele na Uungu wake; wtisiwe na udhuru:


Kwafaa sana kwa killa njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.


Maana hapana tofauti; kwa sababu wote wamefanya dhambi, wanaona kwamba wamepungukiwii utukufu wa Mungu:


Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na killa mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Illi upewe haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.


Ni nini bassi? Tu bora kuliko wengine? Hatta kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba wote pia wa chini ya dhambi;


mwenye mwili aliye yote asije akajisifu mbele ya Mungu.


Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sharia, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa killa mtu asiodumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sharia, ayafanye.


Niambieni, ninyi ninaotaka kuwa chini ya sharia, hamwisikii torati?


illi awakomboe waliokuwa chini ya sharia, tupate kupokea hali ya wana.


Lakini nikiongozwa na Roho, hunpo chini ya sharia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo