Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 3:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Na njia ya amani hawakuijua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 njia ya amani hawaijui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 njia ya amani hawaijui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 njia ya amani hawaijui.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 wala njia ya amani hawaijui.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 wala njia ya amani hawaijui.”

Tazama sura Nakili




Waroma 3:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bali njia ni nyembamba iendayo hatta uzima, na mlango wake ni mwembamba: nao waionao ni wachache.


Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuelekeza miguu yetu mnamo njia ya amani.


Uharibifu na mashaka njiani mwao.


Kumwogopa Muungu hakuwi machoni pao.


BASSI tukiisha kuhesabiwa wema utokao katika imani, tuwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo