Waroma 3:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Koo lao kaburi wazi, Kwa ndimi zao wametumia hila, Sumu ya pili ni chini ya midomo yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu, midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu, midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu, midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Makoo yao ni makaburi wazi; kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Makoo yao ni makaburi wazi; kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” Tazama sura |