Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 2:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Ee bin-Adamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Lakini wewe rafiki unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo hali wewe pia unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Lakini wewe rafiki unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo hali wewe pia unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Lakini wewe rafiki unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo hali wewe pia unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Hivyo wewe mwanadamu, unapotoa hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Hivyo wewe mwanadamu, utoapo hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu?

Tazama sura Nakili




Waroma 2:3
22 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi nyoka, mazao wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehannum?


Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu sasa hivi, akaniletea zaidi ya majeshi thenashara ya malaika?


Akamwambia, Ee mwana Adamu, nani aliyemweka kuwa kadhi au mgawanyi juu yenu?


Na punde baadae mwingine akamwona, akasema, Na wewe u mmoja wao. Petro akasema, Ewe mtu, sio mimi.


Petro akasema, Ewe mtu, sijui unenalo. Papo hapo alipokuwa akisema yeye, jogoo akawika.


ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao haya wamestahili mauti, wanafanya haya, wala si hivyotu, bali wakubaliana nao wayatendao.


KWA hiyo, ee mtu uhukumuye uwae yote, huna udhuru; kwa maana katika hayo uhukumuyo mwingine wajihukumu nafsi yako; kwa maana wewe uhukumuye unafanya yale yale.


Na twajua ya kuwa hukumu ya Mungu ni ya kweli juu yao wafanyao hayo.


La! si hivyo, ee bin-Adamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Ya nini nkanifanza hivi?


Maana wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, kama vile utungu umjiavyo niwenye mimba; nao hawataokolewa.


Angalieni msimkatae yeye anenae. Maana ikiwa wale hawakuokoka waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya inchi, sembuse sisi tukijiepusha nae atuonyae kutoka mbinguni:


sisi je! tutapataje kujiponya, tusipotunza wokofu mkiju namna hii? ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kiisha nkathubutika kwetu na wale waliosikia;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo