Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 2:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Wewe ujisifuye katika torati, kwa kuiasi torati wamvunjia Mungu heshima?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Kwa kujigamba ati unayo sheria ya Mungu, je huoni kwamba kwa kuivunja sheria unamdharau Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Kwa kujigamba ati unayo sheria ya Mungu, je huoni kwamba kwa kuivunja sheria unamdharau Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Kwa kujigamba ati unayo sheria ya Mungu, je huoni kwamba kwa kuivunja sheria unamdharau Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wewe ujivuniaye Torati, wamwaibisha Mungu kwa kuvunja Torati?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wewe ujivuniaye sheria, wamwaibisha Mungu kwa kuvunja sheria?

Tazama sura Nakili




Waroma 2:23
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yule Farisayo akasimama, akasali hivi kwa nafsi yake, Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine, wanyangʼanyi, wazinzi, waia kama na huyu mtoza ushuru.


Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba: yuko anaewashitaki, yaani Musa, mnaemtumaini ninyi.


Lakini wewe, ukiwa unakwitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu,


Kwafaa sana kwa killa njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.


Ku wapi, bassi, kujisifu? Knmefungiwa mlango. Kwa sharia ya namna gani? Kwa sharia ya matendo? La! bali kwa sharia ya imani.


ambao ni Waisraeli, wenye kufanywa wana, wenye utukufu na maagano, wenye kupewa torati na ibada ya Mungu na ahadi zake; ambao mababu ni wao,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo