Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 2:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 na kuyajua mapenzi yake na kuyatambua manibo yaliyo bora, umeelimishwa katika torati,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo Torati,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,

Tazama sura Nakili




Waroma 2:18
19 Marejeleo ya Msalaba  

upate kujua usahihi wa maneno yale uliyofundishwa.


Na mtumwa yule aliyejua mapenzi ya Bwana wake, asijiweke tayari, wala kutenda mapenzi yake, atapigwa mapigo mengi;


Mkiyajua hayo, m kheri mkiyatenda.


Kwa kuwa yote yaliyotangulia kuandikwa yaliandikwa kutufundisha sisi, illi kwa uvumilivu na faraja ya maandiko tupate kuwa na tumaini.


na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani,


mpate kuyakubali yaliyo mema; illi mwe na mioyo safi, bila kosa, mpaka siku ya Kristo,


jaribuni vyote; lishikeni lililo jema;


Lakini chakula kigumu in cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.


Bassi yeye ajuae kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyu ni dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo