Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 16:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Gayo, mwenyeji wangu, pamoja na kanisa lote linalokutana kwake, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto, wanawasalimu. [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Gayo, mwenyeji wangu, pamoja na kanisa lote linalokutana kwake, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto, wanawasalimu. [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Gayo, mwenyeji wangu, pamoja na kanisa lote linalokutana kwake, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto, wanawasalimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kundi lote la waumini, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu, pia wanawasalimu. [

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kundi lote la waumini, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu. [

Tazama sura Nakili




Waroma 16:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akatuma watu wawili miongoni mwa wale waliomkhudumia kwenda Makedonia, nao ni Timotheo na Erasto, yeye mwenyewe akakaa katika Asia kitambo.


Mji wote ukajaa ghasia, wakaenda mbio wakaingia theatro kwa moyo mmoja, wakiisha kuwakamata Gaio na Aristarko, watu wa Makedonia waliosafiri pamoja na Paolo.


Watu hawa wakafuataua nae mpaka Asia, Sopater Mberoya, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thessalonika, na Gayo mtu wa Derbe, na Tukiko na Trofumo watu wa Asia.


Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amin.


An mlibatizwa kwa jina la Paolo?


Trofimo nalimwacha Mileto, hawezi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo