Waroma 16:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Salimianeni kwa busu takatifu. Makanisa yote ya Kristo yawasalimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Salimianeni nyinyi kwa nyinyi kwa ishara ya upendo. Salamu kwenu kutoka kwa makanisa yote ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Salimianeni nyinyi kwa nyinyi kwa ishara ya upendo. Salamu kwenu kutoka kwa makanisa yote ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Salimianeni nyinyi kwa nyinyi kwa ishara ya upendo. Salamu kwenu kutoka kwa makanisa yote ya Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Salimianeni kwa busu takatifu. Makundi yote ya waumini ya Al-Masihi wanawasalimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu. Makundi yote ya waumini ya Al-Masihi yanawasalimu. Tazama sura |