Waroma 16:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Nisalimieni Herodioni, jamaa yangu. Nisalimieni watu wa nyumba ya Nakisso, walio katika Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Salamu zangu kwa Herodiana, mwananchi mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkiso walio katika Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Msalimuni ndugu yangu Herodioni. Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkisi walio katika Bwana Isa. Tazama sura |