Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 15:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Ndio sababu nalizuiwa marra nyingi nisije kwenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu.

Tazama sura Nakili

Waroma 15:22
3 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yohana alikuwa akimzuia, akinena, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, na wewe waja kwangu?

Sipendi msiwe na khahari, ndugu zangu, ya kuwa marra nyingi nalikusudia kuja kwemi, nikazuiliwa hatta sasa, illi nipate kuwa na matunda kwenu ninyi pia kama nilivyo navyo katika mataifi mengine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo