Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 15:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiokhubiriwa khahari zake wafaona, Na wale wasiosikia watafahamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zake wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zake wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Watu wote ambao hawakuambiwa habari zake wataona; nao wale ambao hawajapata kusikia, wataelewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Lakini kama ilivyoandikwa: “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Lakini kama ilivyoandikwa: “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”

Tazama sura Nakili

Waroma 15:21
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta andiko hili hamjalisoma? Jiwe walilokataa waashi Hili limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo