Waroma 15:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Na tena Isaya anena, Litakuwa shina la Yesse, Nae aondokeae kuwatawala Mataifa; ndiye Mataifa watakaemtumaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Tena Isaya asema: “Atatokea chipukizi katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Tena Isaya asema: “Atatokea chipukizi katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Tena Isaya asema: “Atatokea chipukizi katika ukoo wa Yese, naye atawatawala watu wa mataifa; nao watamtumainia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kuyatawala mataifa. Watu wa Mataifa watamtumaini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa. Watu wa Mataifa watamtumaini.” Tazama sura |