Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 15:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Na tena, Msifuni Bwana, Mataifa wote; Mpeni sifa watu wote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Na tena: “Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu wote, msifuni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Tena, “Msifuni Mwenyezi Mungu, ninyi watu wa Mataifa wote, na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Tena, “Msifuni Bwana Mwenyezi, ninyi watu wa Mataifa wote, na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”

Tazama sura Nakili




Waroma 15:11
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na tena Isaya anena, Litakuwa shina la Yesse, Nae aondokeae kuwatawala Mataifa; ndiye Mataifa watakaemtumaini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo