Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 14:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Bassi kama ni hivyo, killa mtu miongoni mwetu atatoa khabari za nafsi yake mbele za Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Waroma 14:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, nawaambieni, Killa neno lisilo maana, watakalolisema wana Adamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.


Kwa maana Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atamlipa killa mtu kwa kadiri ya kutenda kwake.


Akamwita, akamwambia, Nini hii nisikiayo juu yako? Toa khabari ya uwakili wako, maana huwezi tena kuwa wakili.


Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu ya Kristo, illi killa mtu apokee kadiri alivyotenda kwa mwili, vikiwa vyema au vikiwa vibaya.


Maana killa mtu atachukua mzigo wake mwenyewe.


watakaotoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hayi na waliokufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo