Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 14:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa maana imeandikwa, Kwa uhayi wangu, anena Bwana, magoti yote yatapigwa mbele zangu, Na ndimi zote zitamkiri Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Kama vile niishivyo,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Kama vile niishivyo,’ asema Bwana Mwenyezi, ‘kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ ”

Tazama sura Nakili




Waroma 14:11
15 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi killa mtu atakaenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.


kwa sababu, ukimkiri Kristo Yesu kwa kinywa chako, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua, utaokoka;


nao Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa sababu hii nitakusifu katika Mataifa, Na jina lako nitaliimba.


Killa aungamae ya kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, nae ndani ya Mungu.


Kwa maana wadanganyifu wengi wameingia katika dunia, wasio-ungama ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na adui wa Kristo.


Na wale nyama wane wenye uhayi wakasema, Amin. Na wale wazee ishirini na wane wakaanguka wakamsujudu yeye aliye hayi milele na milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo