Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 13:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Maana ile, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishududu uwongo, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani wako kama nafsi yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Maana, amri hizi: “Usizini; Usiue; Usitamani;” na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Maana, amri hizi: “Usizini; Usiue; Usitamani;” na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Maana, amri hizi: “Usizini; Usiue; Usitamani”; na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa kuwa amri hizi zisemazo, “Usizini,” “Usiue,” “Usiibe,” “Usitamani,” na amri nyingine zote, zinajumlishwa katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kwa kuwa amri hizi zisemazo, “Usizini,” “Usiue,” “Usiibe,” “Usitamani,” na amri nyingine zote, zinajumlishwa katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”

Tazama sura Nakili




Waroma 13:9
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na ya pili yafanana nayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.


Wazijua amri, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Usidanganye, Waheshimu haha yako na mama yako.


Na ya pili yafanana na bayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hapana nyingine iliyo kuu kuliko hizi.


Nae akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.


Wazijua amri, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Waheshimu baba yako na mama yako.


Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali khudumianeni kwa upendo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo