Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 13:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Kwa sababu hiyo tena mwatoa kodi; kwa kuwa wao ni watumishi wa Mungu, wakidumu katika kazi hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kwa sababu hiyohiyo nyinyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kwa sababu hiyohiyo nyinyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kwa sababu hiyohiyo nyinyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kwa sababu hii mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu, ambao hutumia muda wao wote kutawala.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kwa sababu hii mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu, ambao hutumia muda wao wote kutawala.

Tazama sura Nakili

Waroma 13:6
18 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaanza kumshitaki, wakisema, Tumemwona mtu huyu amipotosha taifa letu, anawakataza watu wasimpe Kaisari kodi, akisema ya kwamba yeye mwenyewe yu Kristo, mfalme.

mwenye kuonya, katika kuonya kwake; mwenye kukarimu, kwa moyo mweupe; mwenye kusimamia, kwa bidii; mwenye kurehemu, kwa furaha.

Kwa hiyo lazima kutumika, si kwa sababu ya ghadhabu tu, illa na kwa sababu ya dhamiri.

Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru: astahiliye khofu, khofu; astahiliye heshima, heshima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo