Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 13:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Kwa maana watawalao hawatii watu khofu kwa ajili ya matendo mema, bali kwa ajili ya matendo mabaya. Bassi, wataka usimwogope mwenye mamlaka?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Kwa kuwa watawala hawawatishi watu wale wanaotenda mema bali wale wanaotenda mabaya. Je, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Basi tenda lile lililo jema naye atakusifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kwa kuwa watawala hawawatishi watu wale wanaotenda mema bali wale wanaotenda mabaya. Je, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Basi tenda lile lililo jema naye atakusifu.

Tazama sura Nakili

Waroma 13:3
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hivyo amwasiye mwenye mamlaka ashindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

Fanya mema, utapata sifa kwake; kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga burre: ni mtumishi wa Mungu, amlipizae kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo