Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 13:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Bali mvaeni Bwana Yesu, wala msitafakari mahitaji ya mwili, nisije mkawasha tamaa zake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Bali jivikeni Bwana Isa Al-Masihi, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Bali jivikeni Bwana Isa Al-Masihi, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi.

Tazama sura Nakili

Waroma 13:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ninyi nyote mliobatizwa na kuingizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.

Nao walio watu wa Kristo Yesu wameusulibisha niwili pamoja na mawazo mabaya na tamaa mbaya.

mkavae mtu mpya, aliyeumbwa kwa namna ya Mungu katika baki na utakatifu wa kweli.

Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kujinyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali: illakini hayafai kitu wala kuwa dawa ya tamaa za mwili.

Mapenzi, nakusihini kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo