Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 13:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Peudo halimfanyizii jirani neno baya; bassi pendo ndio utimilifu wa sharia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. Basi, upendo ni utimilifu wa sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. Basi, upendo ni utimilifu wa sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. Basi, upendo ni utimilifu wa sheria.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.

Tazama sura Nakili

Waroma 13:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.

Amri mpya nawapeni, mpendane; kama vile nilivyowapenda ninyi, na ninyi mpendane vivyo hivyo.

Msiwiwe na mtu cho chote, isipokuwa kupendana; kwa maana ampendae mtu mwenzake ameitimiza sharia.

Maana sharia yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.

Illakini mkiitimiza sharia ya kifalme kama ilivyoandikwa. Mpende jirani yako kama nafsi yako, mwatenda vyema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo