Waroma 12:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Kwa maana kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, navyo viungo vyote havitendi kazi moja; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja, Tazama sura |