Waroma 11:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Na Daud asema, Meza yao iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao. Tazama sura |