Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 11:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Kama ilivyoandikwa, Mungu aliwapa roho ya usingizi, macho hatta wasione, na masikio hatta wasisikie mpalla leo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mungu ameifanya mioyo yao kuwa mizito, na mpaka leo hii hawawezi kuona kwa macho yao wala kusikia kwa masikio yao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mungu ameifanya mioyo yao kuwa mizito, na mpaka leo hii hawawezi kuona kwa macho yao wala kusikia kwa masikio yao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mungu ameifanya mioyo yao kuwa mizito, na mpaka leo hii hawawezi kuona kwa macho yao wala kusikia kwa masikio yao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 kama ilivyoandikwa: “Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo, macho ili wasiweze kuona, na masikio ili wasiweze kusikia, hadi leo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 kama ilivyoandikwa: “Mwenyezi Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo, macho ili wasiweze kuona, na masikio ili wasiweze kusikia, hadi leo.”

Tazama sura Nakili

Waroma 11:8
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa Mungu, bali wengineo kwa mifano, illi wakiona, wasione, na wakisikia, wasitambue.

Enenda kwa watu hawa, ukawaamhie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona mtaona, wala hamtapata kujua neno:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo