Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 11:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Bassi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako maliaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: Ipo idadi ya waliobaki ambao Mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: Ipo idadi ya waliobaki ambao Mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: ipo idadi ya waliobaki ambao Mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu.

Tazama sura Nakili




Waroma 11:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi kwa khabari ya Injili wamekuwa adui kwa ajili yenu, bali kwa khabari ya kule kuchaguliwa wamekuwa wapenzi kwa ajili ya haha zetu.


kwa maana kabla hawajazaliwa wale watoto, wala hawajatenda neno jema wala baya, illi lisimame kusudi la Mungu la kuchagua,


Isaya nae atoa santi yake juu ya Israeli, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo