Waroma 11:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Lakini ile jawabu yamwanibiaje? Nimejisazia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baal. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea watu 7,000 ambao hawakumwabudu Baali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea watu 7,000 ambao hawakumwabudu Baali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: “Nimejiwekea watu 7,000 ambao hawakumwabudu Baali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Je, Mwenyezi Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.” Tazama sura |