Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 11:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 “Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 “Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 “Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 “Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu? Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 “Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana Mwenyezi? Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?”

Tazama sura Nakili




Waroma 11:34
6 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ni nani aliyejua nia ya Bwana, amwelemishe? Lakini sisi tuna nia ya Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo