Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 11:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi illi awarehemu wote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili apate kuwahurumia wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili apate kuwahurumia wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Maana Mungu amewafunga watu wote katika uasi wao ili apate kuwahurumia wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Kwa maana Mwenyezi Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote.

Tazama sura Nakili




Waroma 11:32
9 Marejeleo ya Msalaba  

Huyu alikuja kwa ushuhuda, illi aishuhudie nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.


Nami nikiinuliwa juu ya inchi nitavuta wote kwangu.


vivyo hivyo na hao wameasi sasa, illi kwa kurehemiwa kwenu wao nao wapate rehema.


ni haki ya Mungu, ipatwayo kwa kuwa na imani kwa Yesu Kristo, huja kwa watu wote, huwakalia watu wote waaminio.


Ni nini bassi? Tu bora kuliko wengine? Hatta kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba wote pia wa chini ya dhambi;


Kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wote waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, vivyo hivyo kwa kutii kwake mtu mmoja watu wote wameingizwa katika hali ya wenye haki.


Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi waaminio wapewe ahadi kwa imani ya Yesu Kristo.


Lakini kabla ya kuja imani tulikuwa tumewekwa chini ya sharia, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo