Waroma 11:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Kwa maana kama ninyi zamani mlimwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kutokuamini kwao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hapo awali nyinyi mlikuwa mmemwasi Mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hapo awali nyinyi mlikuwa mmemwasi Mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hapo awali nyinyi mlikuwa mmemwasi Mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kama vile ninyi wakati fulani mlivyokuwa waasi kwa Mungu lakini sasa mmepata rehema kwa sababu ya kutokutii kwao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kama vile ninyi wakati fulani mlivyokuwa waasi kwa Mwenyezi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa sababu ya kutokutii kwao, Tazama sura |