Waroma 11:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Bwana, wamewaua nabii zakowamezibomoa madhbabu zako, nami mmesalia peke yangu, nao wanatafuta roho yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Alisema, “Mwenyezi Mungu, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Alisema, “Bwana Mungu, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?” Tazama sura |