Waroma 11:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Na hili ndilo agano langu nao, Nitakapowaondolea dhambi zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Hili ndilo agano nitakalofanya nao wakati nitakapoziondoa dhambi zao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Hili ndilo agano nitakalofanya nao wakati nitakapoziondoa dhambi zao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Hili ndilo agano nitakalofanya nao wakati nitakapoziondoa dhambi zao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hili ndilo agano langu nao nitakapoziondoa dhambi zao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Hili ndilo agano langu nao nitakapoziondoa dhambi zao.” Tazama sura |